| Value | Category | Cases | |
|---|---|---|---|
| 1 | Elimu itolewe kwa wazazi juu ya mila na desturi potofu, Sheria kali ziunde na zifuate mkondo wake kwa wote watakao kaidi | 1 |
2.5%
|
| 2 | Kikao cha wazazi na waalimu , Kuwa na mawasiliano kati ya waalimu na wazazi | 1 |
2.5%
|
| 3 | Kuandaa mkutano/vikao vya kutosha shuleni, Wazazi kupata elimu zaidi ya faida za kuwasomesha watoto wao wote | 1 |
2.5%
|
| 4 | Kuedeleza juhudi katika kuboresha miradi (kwa kutumia fedha zinazopatikana kutoka kwa wafadhili ili kuweza kuepukana na changamoto zinazowakumba vijijini mfano ukosefu wa waalimu | 1 |
2.5%
|
| 5 | Kufuatilia mienendo ya wanafunzi kila wakati wakiwa shuleni na nyumbani | 1 |
2.5%
|
| 6 | Kuitisha mikutano inayoshirikisha wazazi na jamii na walimu | 1 |
2.5%
|
| 7 | Kuitisha vikao vya mwisho wa mwezi kuongelea maendeleo ya wanafunzi shuleni | 1 |
2.5%
|
| 8 | Kuitisha vikao vya wazazi na walimu mara kwa mara ili kutengeneza ukaribu katika kumsaidia mtoto | 1 |
2.5%
|
| 9 | Kuitwa kwenye vikao vya maendeleo ya wanafunzi mara kwa mara na Wazazi kuhamashisha watoto kwenda shule | 1 |
2.5%
|
| 10 | Kupata elimu zaidi | 1 |
2.5%
|
| 11 | Kupatiwa elimu kuhusu umuhimu wa elimu na faida yake | 1 |
2.5%
|
| 12 | Kupewa semina mbalimbali zitakazo saidia kupata elimu zaidi na kuwafundisha watoto ili waweze kusoma zaidi | 1 |
2.5%
|
| 13 | Kutoa elimu kwa wazazi juu ya majukumu yake kwa mtoto wake awapo nyumbani na shuleni | 1 |
2.5%
|
| 14 | Kutoa elimu kwa wazazi kuhusiana na maswala ya elimu, Semina mbalimbali za mafunzo, Vikao mbali mbali vya kujadili taaluma ya mwanafunzi | 1 |
2.5%
|
| 15 | Kuundwa kwa kamati mbali mbali ambazo zitaleta maendeleo ya mtoto | 1 |
2.5%
|
| 16 | Kuwa na mikutano ya mara kwa mara ya wazazi shuleni na kamati ya shule | 1 |
2.5%
|
| 17 | Kuwa na vikao vya mara kwa mara kushauri wazazi waelimika kuwaleta watoto shule wa jinsia zote | 1 |
2.5%
|
| 18 | Kuwaelimisha wazazi kuondokana na mila potofu na ndoa za utotoni alikadhalika kuwapa elimu juu ya madhara yatokanayo na ndoa za utotoni | 1 |
2.5%
|
| 19 | Kuwafahamisha wazazi taarifa za mara kwa mara kuhusu maendeleo ya watoto kitaalamu | 1 |
2.5%
|
| 20 | Kuwaita wazazi | 1 |
2.5%
|
| 21 | Kuwapatia elimu juu ya faida ya elimu | 1 |
2.5%
|
| 22 | Kuwapeleka watoto shule na Kutoa Elimu kwa jamii | 1 |
2.5%
|
| 23 | Kuwashirikisha wadau wote wa elimu, wazazi , waalimu na kamati ya shule | 1 |
2.5%
|
| 24 | Kwa njia ya mafunzo | 1 |
2.5%
|
| 25 | Ratiba ya vikao vyawazazi isimamiwe ipasavyo, Feedback ya vikao vitolewe ili ziwahamashishe wazazi | 1 |
2.5%
|
| 26 | Vikao | 1 |
2.5%
|
| 27 | Vikao mbali mbali baina ya walimu na wazazi ili kujadili mambo yanayowakwamisha ufaulu wa wanafunzi na mbinu zipi zitumike ili waweze kufaulu | 1 |
2.5%
|
| 28 | Vikao vya mara kwa mara baina ya wazazi na walimu vifanywe ili kila mzazi mwenye mwanafunzi shuleni aweze kujua na kufuatilia ufaulu wa mtoto wake | 1 |
2.5%
|
| 29 | Vikao vya mara kwa mara ili kuhamasisha wanafunzi | 1 |
2.5%
|
| 30 | Wananchi kuwa na ushirikiano ili kuweza kujua maendeleo na changamoto katika kijiji na kuweza kuwasilisha kwa viongozi. Pia kuwa na moyo wa kujitoa | 1 |
2.5%
|
| 31 | Wawe tayari kuwasaidia watoto kwa kuwalipia ada/kutoa matumizi, Kuitisha vikao na pia mawasiliano kwa kutumia simu, pia wapewe matokeo ya wanao wanavyoendelea mashuleni | 1 |
2.5%
|
| 32 | Wazazi kupata semina mbalimbali na kuweza kuwasilisha changamoto wanazokabiliana nazo | 1 |
2.5%
|
| 33 | Wazazi pamoja na waalimu waendelee kuwasiliana, Mzazi azidi kuwajibika kwa kufwata na kuchunguza maendeleo ya mwanaye katika masomo | 1 |
2.5%
|
| 34 | Wazazi wachangie michango mbalimbali ya shule na kuhusishwa katika maendeleo ya mwanafunzi na Vikao vifanyike mara kwa mara kujua maendeleo yao | 1 |
2.5%
|
| 35 | Wazazi wanatakiwa wawe na umoja na waalimu ili waweze kusaidia kuboresha ufaulu wa wanafunzi zaidi na kuleta maendeleo katika jamii | 1 |
2.5%
|
| Sysmiss | 5 |